Tuesday, 10 November 2015

Monday, 9 November 2015

Video:Kilicho Mkasirisha Rais Magufuli

 
Tazama Kilicho mkasirisha Rais Dr.John Pombe Magufuli katika   hospitali ya taifa muhimbili 

source;AyoTv

Thursday, 5 November 2015

SCHWEINSTEIGER AIGHARIMU MAN UTD EURO 6.5m TU!

Bastian Schweinsteiger’s boyhood club, TSV 1860 Rosenheim, wameweka wazi kuwa Manchester United imeilipa Bayern Munich £6.5m tu kwa mchezaji huyo wa kimataifa wa Ujeruman wakati huu wa kiangazi.